Monday 7 September 2015

NINA SABABU

NINA SABABU
1. Nina sababu ya kukuabudu x2
 Nina sababu ya kukusifu
 Ukuu wako na uaminifu wako
 Ni sababu ya kukuabudu

chorus

Hallelujah, nina sababu ya kukusifu

Ukuu wako na uaminifu wako

Ni sababu ya kukuabudu



2.uliniumba ili nikusifu

Kwa mfano wako uliniumba

Nina sababu ya kukuabudu





No comments:

Post a Comment