Tuesday 8 September 2015

UMETUKUKA

(Umetukuka) x2 Bwana - umetukuka Bwana.
Umetukuka zaidi ya falme zote,
Nguvu na uwezo zimikononi mwako
Pokea sifa Bwana,umeinuliwa
Umetukuka umetukuka Bwana
Uliumba mbingu na nchi
Kwa uwezo wako, na vyote vilivyomo
Kwa nguvu na uwezo wako.
Hakuna mfano wako,wewe ni mungu mkuu
Umetukuka umetukuka Bwana.

No comments:

Post a Comment